sw_deu_text_ulb/15/07.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 7 \v 8 Kama kuna mtu maskini miongoni mwenu, mmoja wa ndugu zenu, ndani ya malango yenu yoyote kwenye nchi yenu ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa, msifanye migumu mioyo yenu wala kufunga mkono wako toka kwa ndugu yako, Lakini unapaswa hakika kufungua mkono wako kwake na hakika mkopeshe yeye vya kutosha hitaji lake.