sw_deu_text_ulb/15/04.txt

1 line
417 B
Plaintext

\v 4 \v 5 \v 6 Hata hivyo, hapana maskini miongoni mwenu (kwa kuwa Yahwe kwa hakika atakubariki kwenye nchi ambayo anakupa kama urithi kumiliki) kama peke yako unasikiliza kwa bidii sauti ya Yahwe Mungu wako, kuzishika amri zote ambazo ninakuamuru leo. Kwa kuwa Yahwe Mungu wako atakubariki, kama alivyokuahidia; utakopesha mataifa mengi, lakini hautaazima; utaongoza juu ya mataifa mengi, lakini hayatukuongoza wewe.