sw_deu_text_ulb/11/04.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 4 \v 5 Wala hawakuona kile alichofanya kwa jeshi Misri, kwa farasi wao, au magari yao; namna alivyoyafanya maji ya bahari ya Reeds kuwaelemea kwa sababu ya kuwafuatilia, na namna Yahwe alivyowaangamiza mpaka leo. au nini alifanya kwenu kwenye jangwa mpaka ulikuja eneo hili.