sw_deu_text_ulb/04/03.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 3 \v 4 Macho yako yamekwisha ona nini Yahweh alifanya kwa sababu ya Baal Peor, kwa kuwa watu wote waliomfuata Baali Peor, Yahweh Mungu wenu amekwisha kuwaangamiza kutoka miongoni mwenu. Lakini walioambatana na Yahweh Mungu wenu wako hai leo, kila moja wenu.