sw_deu_text_ulb/02/16.txt

1 line
394 B
Plaintext

\v 16 \v 17 \v 18 \v 19 Basi ilitokea, wakati watu wote waliofaa kwa kupigana walikuwa wamekufa, na kutoweka miongoni mwa watu, kwamba Yahweh alisema nami, kusema, Leo mtavuka Ar, mpaka wa Moabu. Wakati mtakapofika karibu na mkabala wa watu wa Ammoni, msiwasumbue au kupigana nao, kwa kuwa sitawapa eno lolote la watu wa Ammoni kama miliki, kwa sababu nimekwisha wapa uzao wa Lutu kama miliki".