1 line
309 B
Plaintext
1 line
309 B
Plaintext
\v 43 \v 44 Nilisema nanyi kwa njia hii, lakini hamkunisikiliza, Mliasi dhidi ya amri za Yahweh, mlikuwa wenye kiburi na mlivamia nchi ya milima. Lakini Amorites, ambayo waliishi katika nchi hiyo ya milima, walitoka kupambambana nanyi na kuwafukuza kama nyuki, na kuwapiga chini huko Seir, mbali kama Hormah. |