sw_deu_text_ulb/01/32.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 32 \v 33 Bado licha ya neno hili hakumwamini Yahweh Mungu wenu, alienda mbele yenu katika njia kutafuta eneo kwa ajili yenu kuweka kambi, ndani ya moto kwa usiku, ndani ya mawingu kwa mchana.