sw_deu_text_ulb/01/07.txt

1 line
422 B
Plaintext

\v 7 \v 8 Geuka na uanze safari yako, na uende katika nchi ya milima ya Amorites, na maeneo yote yaliyo karibu na tambarare ya mto Yordani, katika nchi ya milima, na nyanda za chini, huko Negev, na pwani - nchi ya wakanani na huko Lebanoni mbali ya mto mkuu wa Euphratesi. Tazama, nimetenga eneo kwa ajili yako, nenda ndani na umiliki eneo ambalo Yahweh aliapa kwa baba zako, Ibrahimu, Isaka na Yakobo, kuwapa na uzao wao.