sw_deu_text_ulb/33/08.txt

1 line
157 B
Plaintext

\v 8 Kuhusu Lawi, Musa akasema: Thumimu yako na Urimu yako ni ya mtakatifu wako, yule uliyemjaribu kule Masa, ambaye ulishindana naye katika maji ya Meriba.