sw_deu_text_ulb/02/04.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 4 \v 5 Waamurishe watu, kusema, "Mtapita kwenye mpaka wa ndugu zenu, uzao wa Esau, ambao wanaishi Seir; watawaogopa ninyi, Kwa hiyo muwe makini msipigane nao, kwa sababu sitawapa eneo lolote lao, hapana, hakuna hata ya kutosheleza unyao wa mguu kukanyanga, kwa sababu nimekwisha mpa Esau Mlima wa Seir kama miliki.