1 line
339 B
Plaintext
1 line
339 B
Plaintext
\v 29 \v 30 \v 31 Kisha nikasema nao, msitishwe wala msiwaogope. Yahweh Mungu wenu, ambaye aenda mbele yenu, atawapigania, kama yote aliyofanya kwa ajili yenu huko Misri mbele ya macho yenu, na pia katika jangwa, ambapo mmekwisha muona jinsi Yahweh Mungu wenu alivyowabeba, kama mtu abebapo mtoto wake, kokote mlikoenda mpaka kufika hapa.' |