|
\v 20 \v 21 Nilikwambia, umekuja kwenye nchi ya milima ya Amorites, ambayo Yahweh Mungu wetu anatupa sisi. Tazama, Yahweh Mungu wako amekwisha weka ardhi mbele yako; nenda juu, umiliki, kama Yahweh, Mungu wa baba zako, amekwisha zungumza na wewe, usiogope wala kukata tamaa. |