1 line
279 B
Plaintext
1 line
279 B
Plaintext
\c 18 \v 1 \v 2 Makuhani, ambao ni Walawi, na makabila yote ya Lawi, hayatakuwa na mgao wala urithi pamoja na Israel; wanapaswa kula dhabihu ya Yahwe iliyotengenezwa kwa moto kama urithi wao. Hawatukuwa na urithi miongoni mwa ndugu zao; Yahwe ni urithi wao, kama alivyosema nao. |