sw_deu_text_ulb/06/18.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 18 \v 19 Mtafanya kile kilicho sahihi na kizuri katika macho ya Yahweh, kwamba iwe vizuri kwenu, na kwamba muweze kuingia na kumiliki nchi nzuri ambayo Yahweh aliaapa kwa baba zenu, kuwaondoa maadui wenu wote mbele zenu, kama Yahweh alivyosema.