\v 8 \v 9 Utazifunga kama ishara juu ya mkono wako, nayo yatakuwa utepe kati ya macho yako. Utaziandika katika miimo ya mlango ya nyumba yako na katika malango.