1 line
435 B
Plaintext
1 line
435 B
Plaintext
\v 22 \v 23 \v 24 Kila moja wenu alikuja kwangu na kusema, 'Basi natutume watu mbele yetu, ili kwamba waweze kupepeleza eneo kwa ajili yetu, na kutuletea sisi neno kuhusiana na njia ya wapi tuvamie, na kuhusiana na miji tutakayoingia. Shauri hilo lilinibariki mimi, 'Nilichukua watu kumi na mbili kutoka kwao, mtu moja kila kabila. Waligeuka na kwenda katika nchi ya milima, na kuja kwenye bonde la Eshcol na kufanya upepelezi wa kina. |