1 line
281 B
Plaintext
1 line
281 B
Plaintext
\v 9 \v 10 \v 11 Nilisema nawe kwa wakati huo, nikisema, siwezi nikakubeba peke yangu, Yahweh Mungu wako amekuzidisha, na tazama, leo umekuwa umati wa nyota angani. Yahweh anaweza, Mungu wa baba zako, kukufanya wewe mara elfu moja zaidi ya ulivyo, na kukubariki kama alivyokuahidi! |