sw_deu_text_ulb/02/24.txt

1 line
350 B
Plaintext

\v 24 \v 25 Sasa inuka, nenda njia yako na uvuke bonde la Arnoni, tazama, nimekupa mkononi mwako Sihoni ya Amorite, mfalme wa Heshboni, na nchi yake. Anza kuwamiliki na pigana naye katika vita. Leo nitaanza kuweka woga na hofu yenu kwa watu amabo wako chini ya anga lote, watasikia habari kuhusu ninyi na watatemeka na kuwa na shida kwa sababu yenu'.