sw_deu_text_ulb/02/06.txt

1 line
344 B
Plaintext

\v 6 \v 7 Mtanunua chakula kutoka kwao kwa pesa, ili kwamba muweze kula, pia mtanunua maji kutoka kwao kwa pesa, ili kwamba muweze kunywa. Kwa sababu Yahweh Mungu wenu amewabariki katika kazi za mikono yenu, amejua kutembea kwenu katika jangwa hili kuu, kwa hii miaka arobaini Yahweh Mungu wenu amekuwa pamoja nanyi, na hamjapungukiwa chochote.