1 line
503 B
Plaintext
1 line
503 B
Plaintext
\v 17 \v 18 Hakuna hata kimoja kati ya vitu hivyo vimewekwa wakfu kwa ajili ya kuangamizwa vinapaswa kugadamana kwenye mkono wako. Hii inapaswa kuwa kesi, ili kwamba Yahwe atageuka kutoka kwenye ukali wa hasira yake, kuwaonyesha rehema, kuwa na huruma kwenu, na kuwafanya ninyi kuogezeka katika idadi, kama alivyoapa kwa baba zenu. Atafanya hivi kwa sababu mnasikiliza sauti ya Yahwe Mungu wenu, kuzishika amri zake ambazonina waamuru leo, kufanya kile kilicho sahihi mbele ya macho ya Yahwe Mungu wenu. |