|
\v 4 Msiseme kwenye mioyo yenu, baada ya Yahweh Mungu wenu kuwatupilia toka mbele yenu, "ilikuwa kwa sababu ya haki yangu kwamba Yahweh amenileta mimi kuimiliki nchi hii; kwa kuwa ilikuwa kwa sababu ya maovu ya mataifa haya kwamba Yahweh anawaondowa toka mbele yenu. |