sw_deu_text_ulb/05/22.txt

1 line
227 B
Plaintext

\v 22 Haya maneno Yahweh alisema kwa sauti kubwa kwa kusanyiko lako lote kwenye mlima kutoka katikati mwa moto, mawingu, giza zito, hakuongeza maneno yoyote zaidi. Na aliyaandika chini kwenye mbao mbili za mawe na akanipa mimi.