\v 16 Mheshimu baba yako na mama yako, kama Yahweh Mungu wako alivyokuamuru kufanya, ili kwamba uweze kuishi muda mrefu katika nchi ambayo Yahweh Mungu wako akupa, ili kwamba iende kwa uzuri kwako.