\v 11 Hautalichukua jina la Yahweh Mungu wako bure, kwa kuwa Yahweh hatamshikilia kuwa na hatia yeye alichukuae jina bure.