sw_deu_text_ulb/05/04.txt

1 line
343 B
Plaintext

\v 4 \v 5 \v 6 Yahweh alizungumza nawe uso kwa uso kwenye mlima kutoka katikati ya moto (Nilisimama kati ya Yahweh na wewe kwa wakati huo, kukufunulia wewe neno lake, kwa kuwa ulikuwa umeogopa kwa sababu ya moto, na haukwenda juu ya mlima), Yahweh alisema, 'Mimi ni Yahweh Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nyumba ya utumwa.