sw_deu_text_ulb/04/30.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 30 \v 31 Wakati mnakuwa katika dhiki, na wakati haya yote yatakuwa yamekuja kwenu, katika siku za badae mtarudia Yahweh Mungu wenu na kusikia sauti yake. Kwa kuwa Yahweh Mungu wenu ni Mungu wa rehema; hatawangusha wala kuwaangamiza ninyi, wala kusahau agano la baba zenu ambalo aliapa kwao.