sw_deu_text_ulb/04/27.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 27 \v 28 Yahweh atawatawanyisha ninyi miongoni mwa watu, na mtabaki wachache ki-idadi miongoni mwa mataifa, ambapo Yahweh atawaongoza mbali. Huko mtatumikia miungu mingine, kazi ya mikono ya watu, mbao na mawe, ambayo wala haioni, kusikia, wala kunusa.