sw_deu_text_ulb/14/26.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 26 \v 27 Huko utatumia pesa kwa chochote unatamani kwa ng'ombe ua kondoo, au kwa mvinyo , au kwa kinywaji imara, au kwa chochote unatamani; utakula hapo mbele ya Yahwe Mungu wako, na utafurahi, wewe na nyumba yako. Mlawi ambaye yuko malangoni mwako- usimsahau, kwa kuwa hana sehemu wala urithi pamoja nawe.