sw_deu_text_ulb/14/24.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 24 \v 25 Kama safari ni ndefu kwako na kwamba hauwezi kuibeba, kwa sababu eneo ambalo Yahwe Mungu wako atachagua kama patakatifu pake ni mbali kwako, basi, wakati Yahwe Mngu anakubariki, utabadilisha sadaka katika pesa. Funga pesa kwenye mkono, na nenda kwenye eneo ambalo Yahwe Mungu wako atachagua.