\v 11 \v 12 \v 13 Ndege wote safi mnaweza kula. Lakini hawa ni ndege ambao hampaswi kila: tai, tumbusi, kipungu, mwewe mwekundu na mweusi, aina yoyote ya kipanga.