1 line
281 B
Plaintext
1 line
281 B
Plaintext
\c 14 \v 1 \v 2 Ninyi ni watu wa Yahwe Mungu wenu. Msijikate wenye, wala kunyoa sehemu za nyuso zenu kwa ajili ya wafu. Kwa kuwa u taifa lilowekwa wakfu kwa Yahwe Mungu wenu, na Yahwe amewachagua kuwa watu kwa ajili ya urithi wake, zaidi kuliko watu wote walio juu ya uso wa dunia. |