1 line
469 B
Plaintext
1 line
469 B
Plaintext
\v 25 \v 26 \v 27 Lakini kwanini tufe? Kwa kuwa mto huu mkuu utatutoshereza sisi; kama tutasikia sauti ya Yahweh Mungu wetu tena, tutakufa. Kwa kuwa badala yetu kina miongoni mwetu wa mwili ambao wamesikia sauti ya Mungu aliye hai akizungumza toka katikati mwa moto na kuishi, kama tulivyofanya? Kwenu ninyi, mnapaswa kwenda na kusikiliza kila kitu ambacho Yahweh Mungu wetu asema; rudia kwetu kila kitu ambacho Yahweh Mungu wetu asema kwenu; tutamsikiliza na kumtii.' |