sw_deu_text_ulb/27/06.txt

1 line
298 B
Plaintext

\v 6 Unatakiwa kujenga dhabahu ya Yahwe Mungu wako kwa mawe yasiyokuwa na kazi; unatakiwa kutoa dhabihu ya kuteketeza juu yake kwa Yahwe Mungu wako, \v 7 na utatoa sadaka ya pamoja na utakula pale; utafurahia mbele ya Yahwe Mungu wako. \v 8 Utaandika juu ya mawe maneno yote ya sheria hii kwa wazi.