1 line
302 B
Plaintext
1 line
302 B
Plaintext
\c 24 \v 1 Mwanamume akimchukua mke na kumuoa, na mke asipokubalika machoni pa mumewe kwa sababu kagundua jambo ambalo si jema kwake, basi anatakiwa amwandikie talaka, aiweke mkononi mwake, na kumfukuza nyumbani kwake. \v 2 Akishaondoka nyumbani kwake, anaweza kwenda na kuwa mke wa mwanamume mwingine. |