sw_deu_text_ulb/11/26.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 26 Tazama, naweka mbele yenu baraka na laana; \v 27 baraka, kama mtasikiliza amri za Yahwe ambazo ninakuamuru leo, \v 28 na laana, kama hamtasikiliza amri za Yahwe Mungu wenu, lakini mkaicha njia ninayokuamuru leo, kuendea miungu mingine ambayo hamjaijua.