\v 16 \v 17 Hamtamjaribu Yahweh Mungu wenu kama mlivyomjaribu huko Massah. Kwa bidii mtayashika maagizo ya Yahweh Mungu wenu, maagizo yake makini, na amri ambazo amewaamuru.