\v 18 \v 19 Hutekeleza haki kwa yatima na wajane, na huonesha upendo kwa mgeni kwa kumpa chakula na mavazi. Kwa hiyo basi mpende mgeni; kwa kuwa mlikuwa wageni ktuoka nchi ya Misri.