1 line
302 B
Plaintext
1 line
302 B
Plaintext
\c 1 \v 1 \v 2 Haya ni maneno ambayo aliyoongea Musa kwa Israeli yote ng'ambo ya jangwa la Yordani, katika tambarare ya mto wa Yordani juu ya Suph, katikati mwa Paran, Topheli, Laban, Hazeroth, na Di Zahab. Ni safari ya siku kumi na moja toka Horabu kupitia njia ya mlima wa Seir kwenda Kadeshi Barnea. |