sw_deu_text_ulb/32/11.txt

1 line
228 B
Plaintext

\v 11 Kama tai akichungaye kiota chake na kupiga piga mabawa juu ya makinda yake, Yahwe alitandaza mabawa yake na kuwachukua, na kuwabeba kwenye mapapatio yake. \v 12 Yahwe pekee alimuongoza, hapakuwa na mungu mgeni pamoja naye.