sw_deu_text_ulb/02/32.txt

1 line
181 B
Plaintext

\v 32 \v 33 Kisha Sihon alikuja dhidi yetu, yeye na watu wote, kupigana Jahazi. Yahweh Mungu wetu alimtoa kwetu na tulimshinda, tulimpiga mpaka kufa, watoto wake, na watu wake wote.