1 line
429 B
Plaintext
1 line
429 B
Plaintext
\v 36 \v 37 Kutoka Aroer, ambayo iko kwenye ukingo wa bonde la Arnon na kutoka kwenye mji ambao uko bondeni, yote kwa njia ya kuelekea Galeadi, hapakuwa na mji uliokuwa mrefu kwetu. Yahweh Mungu wetu alitupa ushindi dhidi ya maadui zetu mbele yetu. Ilikuwa ni nchi pekee ya uzao wa Ammoni ambayo hamkuingia, sambamba na sehemu zote za mto Jabboki, na miji ya nchi ya milima- popote pale Yahweh Mungu wetu ametukataza sisi kwenda. |