sw_deu_text_ulb/02/34.txt

1 line
239 B
Plaintext

\v 34 \v 35 Tulichukua miji yake yote kwa wakati huo, na kuharibu kabisa kila mji- wanaume na wanawake na watoto wadogo, hatukuacha aliyenusurika. Ng'ombe pekee tulichukua kama mateka kwa ajili yetu, sambamba na mateka ya miji tuliochukua.