1 line
489 B
Plaintext
1 line
489 B
Plaintext
\v 13 \v 14 \v 15 "Sasa inuka na uende kwenye kijito cha Zeredi". Kwa hiyo tulienda kuvuka kijito cha Zeredi. Sasa tangu siku ambapo tulikuja kutoka Kadesh Barnea mpaka tukavuka kijito cha Zeredi, ilikuwa miaka thelathini na nane. Ilikuwa kwa wakati huo kizazi chote cha watu waliofaa kupigana walikuwa wamekwisha ondoka kwa watu, kama Yahweh alivyokuwa ameapa kwao. Zaidi ya yote, mkono wa Yahweh ulikuwa kinyume na kizazi hicho ili kuweza kuwaangamiza kutoka kwa watu mpaka walipoondoka. |