sw_deu_text_ulb/16/05.txt

1 line
288 B
Plaintext

\v 5 \v 6 Msitoe dhabihu ya pasaka kati ya malango yenu ya ndani ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa. Badala yake, toa dhabihu katika eneo ambalo Yahwe Mungu wenu atawachagua kama patakatifu pake. Hapo mtatoa dhabihu ya pasaka jioni wakati jua linazama, kwa wakati huo wa mwaka mlitoka Misri.