1 line
305 B
Plaintext
1 line
305 B
Plaintext
\v 8 \v 9 Kwa wakati huo Yahwe alichagua kabila la Lawi kubeba sanduku la agano la Yahwe, kusimama mbele ya Yahwe kumtumikia na kubariki watu kwa jina lake, kama ilivyo leo. Kwa hiyo Lawi hawana sehemu wala urithi wa nchi pamoja na ndgu zake; Yahwe ni urithi wao, kama Yahwe Mungu wenu alizungumza kwake) |