sw_deu_text_ulb/03/28.txt

1 line
213 B
Plaintext

\v 28 \v 29 Badala yake, muulekeze Yoshua na kumtia moyo na kumuimarisha, kwa kuwa ataenda zaidi mbele ya watu, na atawasababisha kuirithi nchi ambayo mtaiona. Kwa hiyo tulibaki katika bonde mkabala mwa Beth Peor.