\v 18 Nilikuamuru wewe kwa wakati huo, kusema, Yahweh Mungu wako amekupa nchi hii kuimiliki, wewe, wamaume wote wa vita, watapita juu ya silaha mbele ya ndugu zako, watu wa Israeli.