1 line
280 B
Plaintext
1 line
280 B
Plaintext
\v 39 \v 40 Zaidi ya yote, watoto wako wadogo, ambao ulisema watakuwa waathirika, ambao leo hawana elimu juu ya uzuri au ubaya-wataenda ndani huko. Wao nitawapa nchi hiyo, na wataimiliki. Lakini ninyi, geuka na muuanza safari kwenda jangwani kwa kuambaa njia ya bahari ya mianzi'. |