1 line
347 B
Plaintext
1 line
347 B
Plaintext
\v 34 \v 35 \v 36 Yahweh alisikia sauti ya maneno yenu na akakasirika; aliapa na kusema, Hakika hakuna mmoja ya hawa watu wa kizazi kiovu wataona nchi nzuri ambayo niliapa kuwapa babu zao, mhifadhi Calebu mwana wa Jephuneeh; yeye ataiona. Yeye nitampa nchi ambayo amekwisha kuikanyanga, na watoto wake, kwa sababu alimfuata Yahweh kwa ukamilifu.' |