1 line
484 B
Plaintext
1 line
484 B
Plaintext
\v 26 \v 27 \v 28 Bado mlikataa kushambulia, lakini mliasi dhidi ya amri ya Yahweh Mungu wenu. Mlilalamika katika mahema yenu na kusema, "Ni kwa sababu Yahweh alituchukia sisi, kwa kuwa ametutoa katika nchi ya Misri, kuteweka katika mikono ya Amorites kutuangamiza. Tuende wapi sasa? Ndugu zetu wamefanya mioyo yetu kuyeyuka, kusema, Hao watu ni wakubwa na warefu zaidi yetu, miji yao ni mikubwa na miji yao imeimarishwa kwenda mbinguni, zaidi ya yote, tumewaona wana wa Anakim huko" |